HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 10, 2018

MHADHARA WA TANO WA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA COSTECH JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu, akitoa mada wakati akifungua Mhadhara wa Tano wa Mwalimu Nyerere uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa COSTECH jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere (NRC),  Profesa Issa Shivji, akiongoza Mhadhara huo.
Washiriki wa mhadhara huo.
 Mhadhara ukiendelea.
 Profesa Prabhat Patnik, akitoa mada.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye mhadhara huo.
 Mwenyekiti wa Mhadhara huo, Profesa Saida Yahya akiendesha mhadhara huo.
 Dkt. Ng'wanza Kamata akitoa mada kwenye mhadhara huo.

No comments:

Post a Comment

Pages