HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 09, 2018

BENKI YA CRDB YAPATA TUZO YA TAARIFA BORA YA FEDHA MWAKA 2017



Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo, tuzo ya NBAA ya utoaji wa taarifa bora ya fedha kwa mwaka 2017 katika kipengere cha taasisi za kifedha iliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA, Prof. Isaya Jairo (kushoto), akipongeza Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo.

Muonekano wa tuzo waliyopata Benki ya CRDB.

Baadhi ya wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB katika hafla hiyo.

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo, akizungumza na waandishi wa habari.

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo (kulia) akiwa na Ofisa wa Benki hiyo kutoka tawi la Mererani mkoani Arusha, Devis Mkuwa (kushoto) na Ofisa wa Fedha, Edgar Kyejo (katikati).
Baada ya kupokea tuzo Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo (mwenye tai), akigonganisha glasi na baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na wageni waalikwa.

Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, akiisoma kwa makini tuzo waliyopata Benki ya CRDB ya Mwasilishaji Bora wa taarifa ya fedha katika kipengere cha taasisi za kifedha. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo.

Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere (wa tatu kushoto), akiwa na Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo (wa pili kushoto). Kutoka kulia ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Devis Mkuwa (kutoka tawi la Mererani), Ofisa wa Fedha, Edgar Kyejo, Mkuu wa Idara ya Fedha wa Kampuni ya Bima ya CRDB, Abdallah Mrisho, Abdallah Mrisho na Ofisa Masoko, Edwin Nchimbi.

Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, akimpongeza Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo.

Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, akionekana kuvutiwa na tuzo waliyopata Benki ya CRDB.

Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, akiagana na Mkuu wa Idara ya Fedha wa Kampuni ya Bima ya CRDB, Abdallah Mrisho.

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo (katoikati), akiwa na Mkuu wa Idara ya Fedha wa Kampuni ya Bima ya CRDB, Abdallah Mrisho, Abdallah Mrisho (wa pili kulia), wakionyesha furaha yao baada ya kupokea tuzo ya tuzo ya NBAA ya utoaji wa taarifa bora ya fedha kwa mwaka 2017 katika kipengere cha taasisi za kifedha.

Edgar Kyejo na Devis Mkuwa wakiwa na tuzo ya Benki ya CRDB ya utoaji taarifa bora ya fedha kwa mwaka 2017.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo ya taarifa bora ya fedha kwa mwaka 2017.

No comments:

Post a Comment

Pages