HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 09, 2018

CHUO KIKUU MZUMBE YAPATA USHINDI WA KWANZA KATIKA TUZO YA TAARIFA BORA YA FEDHA MWAKA 2017 KWA TAASISI ZA ELIMU YA JUU


Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo ya taarifa bora ya fedha kwa mwaka 2017.
  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji akimkabidhi tuzo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, katika hafla ya utoaji tuzo ya Taarifa Bora ya Fedha kwa mwaka 2017.

 Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA, Prof. Isaya Jairo, akimpongeza, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka.

 Hongera.

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akionyesha tuzo waliyopata. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa Chuo Kikuu Mzumbe, Mwanjaa Lyezia.

 Mmeiona.....

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akiwa na Mkurugenzi wa Fedha wa Chuo Kikuu Mzumbe, Mwanjaa Lyezia.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka (wa pili kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja.

 Picha ya pamoja na mgeni rasmi.






No comments:

Post a Comment

Pages