Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

h

h

CRDB

CRDB
.

Pages

SIMBA YAWANYANYASA WAARABU

 Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ akiwasalimia mashabiki wa soka waliofurika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo Januari 12, 2019 kushuhudia pambano la Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba na JS Saoura ya Algeria. (Picha na John Dande).
Kikosi cha JS Saoura.
 Kikosi cha Simba.
John Boko 'Adebayo' akimtoka beki wa JS Saoura ya Algeria.
Pascal Wawa akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa
JS Saoura ya Algeria.
Mshambuliaji wa Simba John Boko 'Adebayo' akimtoka beki wa JS Saoura ya Algeria
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Emmanuel Okwi baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza.
Kiungo wa Simba, Cloutas Chama, akimpongeza Emmanuel Okwi, baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) dhidi ya JS Saoura ya Algeria. Simba ilishinda 3-0.
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, akiwatoka wachezaji watano wa JS Saoura.
 Emmanuel Okwi akichuana na beki wa JS Saoura.
 Wachezaji wa Simba wakipongezana.
 Okwi akishangilia.
  Kagere akishangilia baada ya kufunga.

No comments:

Post a Comment