HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 15, 2019

DKT. MWANJELWA AWAPA WIKI MOJA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA MKINGA WANAOISHI NJE YA VITUO VYA KAZI KUHAMIA KATIKA MANEO YAO YA KAZI

  Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wilayani Mkinga, wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi hao   chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji, kabla  kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani humo. (Picha na Ofisi ya Rais-Utumishi).
Baadhi ya watumishi wa umma wilayani Mkinga wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi chenye  lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao,  kabla ya  kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani humo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akiteta jambo  na Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Bi. Zena Said, kabla ya kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga  kwa  lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao,  kabla ya  kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani humo.
 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga, Bi. Zena Said (kushoto) akimkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri huyo na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji, kabla  kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani humo.
Afisa Utumishi  Mwandamizi  wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Baraka N. Nangosongo akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwa watumishi wa umma wilayani Mkinga wakati wa kikao kazi cha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kabla kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF wilayani humo.

No comments:

Post a Comment

Pages