HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 10, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 5 YA MWAKA C KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki na waumini wengine katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Mwaka C katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na masista na waumini wakati wa  Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Mwaka C katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mkate wa Sakramenti Takatifu toka kwa  Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padri Dkt. Alister Makubi  wakati wa  Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Mwaka C katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padri Dkt. Alister Makubi baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 5 ya Mwaka C katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo February 10, 2019. Katikati ni mmoja wa viongozi wa kanisa hilo  Dkt. Adelhelm James Meru

No comments:

Post a Comment

Pages