HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 19, 2019

MASAUNI AONGOZA WANAJUMUIYA WA CHUO KIKUU CHA KIMATAIFA CHA KAMPALA (KIU) KUMUAGA MWANAFUNZI ANIFA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akizungumza wakati wa ibada ya kumuaga  mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Anifa Simpoliunus, aliyefariki baada ya kuvamiwa na vibaka maeneo karibu na chuo hicho.Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi SalaSala,jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa mazishi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waombolezaji wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati wa ibada ya kuaga mwili wa  mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Anifa Simpoliunus, aliyefariki baada ya kuvamiwa na vibaka maeneo karibu na chuo hicho.Ibada hiyo  imefanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi SalaSala,jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa mazishi.

No comments:

Post a Comment

Pages