Taswira mbalimbali za Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika kesho Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo. PICHA NA IKULU.
October 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment