HABARI MSETO (HEADER)


 


Breaking

December 05, 2014

LWAKATALE AIBWAGA SERIKALI KESI YA UGAIDI


Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare (wa tatu kushoto) akiongozana na familia yake wakati akitoka katika Mahakama ya Rufaa Tanzania, baada ya mahakama hiyo kuyatupilia mbali maombi ya serikali ya kupinga Uamuzi wa Mahakama Kuu wa kumfutia mashtaka ya Ugaidi. (Picha na Francis Dande)
 Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare (wa pili kushoto) akipongezana na wakili wake Peter Kibatala.

No comments:

Post a Comment

Pages