RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (kulia kwa Rais) na
(kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman
Abdulla.baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,baada ya
kumalizika kwa hafla ya kuapisha iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha na pamoja na Viongozi
wa Vyama vya Siasa waliosimama nyuma na waliokaa kutoka (kushoto kwa Rais)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Jaji Mkuu wa
Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar
Kabi.(Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment