April 25, 2021

CRDB, AIESEC WAANDAA KONGAMANO LA KUWAJENGEA UWEZO VIJANA


 

Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo Benki ya CRDB, Godfrey Rutasingwa, akizungumza katika Kongamano la Career Fair 2021 kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana ili waweze kupata maarifa ya kuweza kuajirika, kujiajiri na kuweza kupanga namna ya kuendeleza maarifa yao. Kongamano hilo liliandaliwa na AIESEC kwa kushirikiana na Benki ya CRDB na kufanyika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM).


Meneja  Mwandamizi Kitengo cha Masoko Benki ya CRDB, Joe Bendera, akitoa mada katika kongamano wa kuwajengea uwezo vijana ili waweze kupata maarifa ya kuweza kuajirika, kujiajiri na kuweza kupanga namna ya kuendeleza maarifa yao. Mdahalo huo uliandaliwa na AIESEC kwa kushirikiana na Benki ya CRDB uliofanyika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM).

  Mmoja wa wanafunzi wa programu ya Wanagenzi wa Benki ya CRDB, Lisa Tibenda, akizungumza wakati wa Koongamano la kuwajengea uwezo vijana ili waweze kupata maarifa ya kuweza kuajirika, kujiajiri na kuweza kupanga namna ya kuendeleza maarifa yao. Kongamano hilo liliandaliwa na AIESEC kwa kushirikiana na Benki ya CRDB na kufanyika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM).
Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo kutoka kwa Digital Champion UDSM CRDB, Swedi Haruna, walipotembelea banda la Benki ya CRDB wakati wa kongamano la kuwajengea uwezo.

 

 Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki ya CRDB wakati wa kongamano la kuwajengea uwezo vijana ili waweze kupata maarifa ya kuweza kuajirika, kujiajiri na kuweza kupanga namna ya kuendeleza maarifa yao. Kongamano hilo liliandaliwa na na AIESEC kwa kushirikiana na Benki ya CRDB na kufanyika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM).

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Donath Shirima, akitoa mada katika semina ya programu ya Wanagenzi wa Benki ya CRDB iliyofanyika chuoni hapo.

No comments:

Post a Comment

Pages