Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax mara baada ya
kuwasili Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 23 Aprili, 2021.
Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza na Wanahabari mara baada ya
mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dodoma. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment