January 27, 2022

Kesi ya Mbowe yaendelea leo

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa na wenzake wakiingia katika chumba cha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam leo Januari 27, 2022 kusikilia tuhuma zinazowakabili. (Picha na Habari Mseto Blog).



No comments:

Post a Comment

Pages