January 06, 2013

BMTL WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2012

Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business MachinesTanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya kuuaga mwaka 2012 iliyokwenda sambamba na utoaji wa vyeti na zawadi kwa wafanyakazi wa muda mrefu.
Meneja Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Kampuni ya BMTL, Mariam Chamba akiwatambulisha wanakamati waliohusika kuwachugua, kuwatambua wafanyakazi waliofanya vizuri.
Mkurugenzi, Deen Nathwani na Meneja Mkuu Rasilimali Watu, Mariam Chamba wakipeana mkono wakati wa uzinduzi wa sera ya tuzo kwa wafanyakazi 
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akimkabidhi zawadi mfanyakazi, Rabson Mtui.
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akimkabidhi zawadi mfanyakazi wa kampuni hiyo, Jatinder.
 Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akimkabidhi zawadi mfanyakazi wa kampuni hiyo, Jamson Winala.
 LucasiMsaki (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran.
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business Machines Tanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akiwa amepozi kwa picha na Meneja Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Kampuni hiyo, Mariam Chamba baada ya kumkabidhi zawadi.
Wafanyakazi wa BMTL wakiwa katika sherehe hiyo
Mvinyo ukifunguliwa katika kupamba sherehe hiyo.
Wafanyakazi wakipata msosi
Ngoma za kitamaduni kutoka India zilipamba sherehe hiyo.
Ngoma za kitamaduni kutoka India zilipamba sherehe hiyo.
 Tamaduni kutoka Kenya nazo zilichukua nafasi katika sherehe hiyo.
  Wafanyakazi wa Idara mbalimbali wakipata msosi
 Wafanyakazi wa BMTL wakicheza muziki

No comments:

Post a Comment

Pages