January 17, 2013

HELLOW WADAU; TUNAKARIBISHA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI


Mpenzi msomaji, wa Gazeti la HABARILEO, tuletee picha za harusi, Kumuaga Bi Harusi, Uchumba, Ubatizo, Kipa imara, na nyinginezo, nasi tutazichapisha bureee katika Ukurasa huu.



Unaweza kutuletea moja kwa moja katika Ofisi zetu Zilizoko Jengo la Daily News Makao Makuu, Barabara ya Mandela Tazara (Tunatazamana na Ofisi za TAZARA), Dar es Salaam au kupitia anuani ya barua pepe habarizapicha@gmail.com –MHARIRI. 

PIA waweza kuzituma kwa barua pepe:- mrokim@gmail.com KWA MAELEZO ZAIDI PIGA +255 755 373999 AU +255 717 002303.

No comments:

Post a Comment

Pages