January 23, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MTENDAJI MKUU(CEO) WA BANK YA Standard Chartered TANZANIA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo amekutana na Ceo wa Bank ya Standard Chartered Tanzania Bibi Liz Lioyd ambaye alifika ofisini kwa waziri mkuu magogoni kwa mazungumzo ya kikazi picha na chris mfinanga

No comments:

Post a Comment

Pages