January 29, 2013

MICHUANO YA MEYA CUP YAPAMBA MOTO KINONDONI

 Mbunge wa Kinondoni, Iddi Azan akikagua vikosi vya timu za kata ya Ndugumbi na Mzimuni mwishoni mwa wiki wakati wa michuano ya kinyang’anyiro cha Meya Cup 2013 inayoendelea katika kata tofauti wilayani humo. Mashindano haya yakiwa na kusudi la kuhamasisha Usafi na ulinzi Benki ya NMB ikiwa ndio wafadhiri wakuu na TVS King watatoa zawadi ya pikipiki ya miguu mitatu kwa mshindi wa kwanza.

Mshambuliajia wa timu ya Ndugumbi, Bakari Mwenge akichuana na beki wa Mzimuni, Ramadhani Yusuf (kushoto) wakati wa mashindano ya Meya Cup yanaendelea kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Pages