January 19, 2013

MKE wa RAIS MAMA SALMA KIKWETE AWAFANYIA SHERRY PARTY WENZA WA MABALOZI


 Mama na watendaji wakuu wakielekea katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa AICC.
 Hongera mama yetu kwa kazi nzuri kusaidia kupuza vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga.
 Picha ya pamoja na watendaji wakuu wa kongamano la Ulimwengu la Afya ya Uzazi
 Mama Salma Kikwete akifurahia ngoma ya msanja ya kikundi cha akina mama huko Arusha
 Mama salma kikwete akifunga kongamano.

 Washiriki wa kongamano wakifuatilia hotuba ya ufungaji
 Baadhi ya wataalamu wakongamano la ulimwengu la afya ya Uzazi wakibadilishana mawzo
 MandharI ya ukumbi wa kokgamano la ulimwengu la Afya ya Uzazi mjini Arusha.
Mama katika viwanja vya ukumbi wa kimataifa wa mikutano AICC pamja vingozi wa serikali

No comments:

Post a Comment

Pages