January 27, 2013

MSAFARA WA KINANA KWA TRENI WAWASILI MJINI KIGOMA LEO

 Kinana akikaribishwa na viongozi wa CCM mkoa wa Kigoma baada ya treni kuwasili leo asubuhi, Wanaoshuka ni Migiro na Nape
Kinana, Nape na Asha-Rose Migiro (kushoto) wakisindikizwa baada ya kushuka kwenye treni mjini Kigoma
 Mamia ya wananchi wakiwa wamejitokeza kupokea msafara wa Kinana ulipowasili kwa treni Stesheni ya Kigoma leo asubuhi
 Kinana akipokewa kwa ngoma stesheni ya Kigoma. Wapili ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk. Walid Kaborou na kulia ni Nape akishiriki kupiga ngoma
 Kinana akimshukuru treva wa treni ya abiria baada ya kuwafikisha salama mjini Kigoma
 Kinana akisalimia wananchi Shesheni ya Kazuramimba leo asubuhi
 Nape akimfurahia mtoto Ali Saidi mwenye umri wa miezi minane, ambaye ni mtoto wa mmoja wa abiria aliowakuta kwenye Stesheni ya Kigoma, msafara wa Kinana ulipowasili leo kwa treni.

No comments:

Post a Comment

Pages