January 17, 2013

RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO JIPYA LA HOSPITALI YA HINDU MANDAL

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya. 

No comments:

Post a Comment

Pages