January 01, 2013

RAIS KIKWETE AKARIBISHA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MSOGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na wanakijiji wenzao wa kijijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni 
 ms3:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kaka yake Mzee Selemani Kikwete kwa  wanakijiji wenzake  wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za  kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipeana mkono wa heri na wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za kienyeji
Wanakiji wa Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiangalia fashifashi wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kijijini hapo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Pages