January 28, 2013

Rais Kikwete arejea jijini Dar esSalaam

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik Muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jana usiku akitokea nchini Ethiopia ambapo aluhudhuria mkutano wa Wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU) uliofanyika jijini Addis Ababa (Picha na Freddy Maro)

1 comment:

  1. Excellent article. Keep writing such kind of information
    on your blog. Im really impressed by your site.
    Hello there, You have performed an incredible job. I will certainly
    digg it and in my view recommend to my friends.
    I am sure they'll be benefited from this site.

    Review my blog: buy real twitter followers

    ReplyDelete

Pages