January 23, 2013

RAIS SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages