WAWAKILISHI WA SHINDANO LA GUINNES FOOTBALL CHALLEGE WAPAA KWENDA AFRIKA KUSINI
Meneja wa kinywaji cha Guinness Davis Kambi (kushoto) akikabidhi
tiketi za ndege kwa mwakilishi wa timu ya Tanzania, Mohamed Kobembe katika
shindano la Guinnes Football Challege liltakalofanyika kuanzia Januari 14-22 Afrika
Kusini. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washiriki wa shindano hilo akizungumzia shindano hilo.
No comments:
Post a Comment