January 04, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA HIFADHI YA KATAVI

  Waziri Mkuu Mizengo Pinda atembelea hifadhi ya katavi  na kuweza kuona wanyama waliopo katika hifadhi hiyo. Kulia ni mkewe Tunu Pinda akiwa ana tumia kiona mbali kuangalia simba waliokuwa katika mawindo kwa nyuma ni Sheni Abdallah Mkurugenzi Mkuu wa Katuma Bush Lodge iliyopo katika hifadhi ya katavi.  (Picha na Chris Mfinanga)
Simba jike akiwa katika mawindo kwenye hifadhi ya Katavi. 

No comments:

Post a Comment

Pages