September 26, 2013

MIKUTANO YA MABARAZA YA KATIBA; TUME YA JAJI WARIOBA YAFANYA MIKUTANO 179

Ili kuendesha mikutano ya katiba kwa ufanisi,Tume ilijigawa katika makundi 14, kila kundi likiwa na wajumbe kati ya wawili na watatu. Makundi haya yalizunguka nchi nzima na kufanya jumla ya mikutano 179 iliyohudhuriwa na wajumbe 19,337. Mikutano hii ilifanyika katika kila Halmashauri ya Wilaya, Halmashaurio ya Manispaa na Jiji na mkutano mmoja ulidumu kwa wastani wa siku tatu. Kati ya mikutano hii, jumla ya mukutano 116 ulifanyika Tanzania Bara na 13 ilifanyika Tanzania Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuelezea utekelezaji wa majukumu yake. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Agustino Ramadhani. (Picha na Francis Dande) 

No comments:

Post a Comment

Pages