Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi kushoto na dereva wa
kampuni ya Tasia Hogistic ya jijini Dar es Salaam, Verry Philiph (39)
wakikabidhiwa cheti baada ya kupimwa shinikizo la damu na wateknolojia
wa maabara wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro, Theodol Babwanga
kushoto na Daniel Mwita wakati mkuu huyo alipozindua mpango wa upimaji
wa afya kwa madereva wa malori makubwa katika mizani ya Mikese
kufuatia kampuni ya TBL kuendesha zoezi la upimaji wa afya kwa
madereva wa malori ikiwa kuanza kwa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa
usalama barabarani ikibeba ujumbe wa "usalama unaanza kwangu kisha
kwako na sisi sote" mkoani Morogoro. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa TBL. Steve Kilindo.
Mkuu wa Usalama Barabarani Chalinze, Innocent Sule akiwa
anazungumzana baadhi ya madereva wa mabasi yanayofanya safari zake
kati ya mikoa ya Dar es Salaam na Arusha zoezi lililofanyika katika
mizani ya Kiangaiko iliyoko Msata Bagamoyo. Kampuni ya Bia Tanzania TBL, sh.
mil. 13 kwa uongozi wa Hospitali Teule ya Tumbi kwa lengo la
kufanikisha kupima madereva wanaotarajiwa kufikia 800 ikiwa na lengo
la kupunguza kama si kumaliza ajali.
No comments:
Post a Comment