Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akifafanua jambo
wakati vyama vya upinzani vya Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF vilipokutuna
jijini Dar es Salaam na kutoa tamko la ushirikiano juu ya mustakabali
wa mchakato wa katiba mpya, baada ya kupitishwa kinyemela kwa muswada wa
marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba. Kushoto ni Mwenyekiti wa
NCCR-Mageuzi, James Mbatia na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba. (Picha na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment