Mshambuliaji wa Yanga,
Hamisi Kiiza akichuana na beki wa Azam FC, Waziri Salum (kulia) katika mchezo
wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam. Azam FC ilishinda 3-2.
Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kushoto) akioneshana ubabe na beki wa Azam Fc, Kipre Balou katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Azam ilishinda 3-2.
Wchezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza la timu yao lililofungwa na Didier Kavumbagu.
Wchezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza la timu yao lililofungwa na Didier Kavumbagu.
Beki wa
Azam FC, Erasto Nyoni akimmwagia maji muuaji wa timu ya Yanga, Joseph Kimwaga
mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azama ilishinda
3-2.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la tatu la timu yao. (Picha zote na Francis Dande).
No comments:
Post a Comment