December 27, 2013

GAZETI LA MTANZANIA LATOKA KIFUNGONI
 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Ansbert Ngurumo (kushoto), akisoma nakala ya kwanza ya gazeti la Mtanzania baada ya kumaliza adhabu ya kifungiwa miezi mitatu na Serikali. Kulia ni Mhariri Mtendaji wa New Habari, Absalom Kibanda. (Picha na John Dande)
Mhariri Mtendaji wa New Habari, Absalom Kibanda (kushoto) na  Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Ansbert Ngurumo wakisoma nakala ya kwanza ya gazeti la Mtanzania baada ya kumaliza adhabu ya kufungiwa na Serikali. 
 Askari wa Usalama Barabarani akisoma nakala ya gazeti la Mtanzania.
 Mhariri Mtendaji wa New Habari, Absalom Kibanda (kulia) akigawa nakala ya gazeti la Mtanzania kwa wasomaji wake.
 Kibanda akimpa nakala ya gazeti la Mtanzania msomaji wa gazeti hilo.
 Tumerudi kwa kishindo.
 Wafanyakazi wa New habari wakiwa na nakala za gazeti la Mtanzania.
 Tumekuja kuwashika.....!!!!!!!










No comments:

Post a Comment

Pages