December 29, 2013

Mahafali ya 9 ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma Shamuhuna,wakati alipowasili Chuo Kikuu cha Taifa,kampasi ya Tunguu,katika sherehe za mahfali ya 9 ya chuo hicho,ambayo wahitimu wa fani mbali mbali wamepatiwa Shahada,Stashahada na Vyeti. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
 Baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali  wa Chuo Kikuu cha
Taifa SUZA,wakiwa katikaa maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(wa pili kulia) akiongoza maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja leo,yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu.
 Baadhi ya wahitimu wa shahada ya Sayansi ya Kompyuta,ya
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar.
 Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi na Elimu,ya
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,baada ya kutunukiwa na  Rais wa Zanzibar. 
Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya

habari.

No comments:

Post a Comment

Pages