Baadhi ya
wanafunzi wa Shule ya Filbert Bay ya jijini Dar es Salaam, wakiwa katika hali
ya furaha baada ya kupokea Kifimbo cha Malikia wa Uingereza, kinachohamasisha michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kuwalisi
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment