January 02, 2014

BOMU LAKUTWA KANDOKANDO YA BARABARA JIJINI DAR ES SALAAM
Bomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam leo.
 Polisi waliimarisha ulinzi katika eneo hilo.
 Watu wakishangaa katika eneo la tukio. 
 Polisi wakichimbua chini kutoa bomu lililokuwa limefukiwa chini.
 Polisi wakiweka  uzio leo katika makutano ya Barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam, baada ya kugundulika kuwepo kwa bomu katika eneo hilo.
\

No comments:

Post a Comment

Pages