Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Timu ya KCC ya Uganda Kawoya Fahad, baada ya kuifunga Simba 1-0 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliochezwa katika uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar.
(Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
No comments:
Post a Comment