January 29, 2014

MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU WA FINLAND IKULU DAR
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Freddy Maro)
Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, mara baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta, Ernest Mangu.  (Picha na Francis Dande) 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen wakipokea heshima katika jukwaa wakati wa mapokezi rasmi yaliyofanyika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha na Freddy Maro)
Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili ikulu jijini Dar es salaam jana, ambapo alikuwa na mazungumzao na Rais Jakaya Kikwete. (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Pages