January 14, 2014

MICHUANO YA TENISI YASHIKA KASI GYMKHANA
Tumain Martin wa Tanzania akirudisha mpira kwa mpinzani wake, Ernes Habyambere wa Rwanda (hayupo pichani), wakati wa michuano ya mchezo wa Tenis kwa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.  Tumain alishinda kwa seti 5-7, 6-2, 6-0. (Picha zote na Francis Dande)
 Judith Nkatha-Kenya
 Kenya.
 Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya ya mchezo wa Tenis, Faith Nyabera  akijiandaa kupiga mpira katika viwanja vya Gymkhana.
Georgina-Tanzania
Khalfan Peter-Tanzania
Henriet Mutesi kutoka Rwanda, akirudisha mpira kwa mpinzani wake, Judith Nkatha wa Kenya (hayupo pichani), wakati wa michuano ya Tenisi kwa nchi za Afrika Mashariki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam. Judith alishinda kwa seti 6-1, 6-1. 
Ernes Habyambere-Rwanda 
Karenzi Bertin-Burundi

No comments:

Post a Comment

Pages