January 02, 2014

MTEMVU AZIDI KUGAWA KAZI KWA WATANZANIA UGHAIBUNI
 Mwenyekiti wa Wakala wa Kituo cha Kazi cha Bravo, ambaye pia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akimkabidhi Mkazi wa Chamazi, Dar es Salaam, Warda Ibrahim tiketi na nyaraka zingine kwa ajili ya safari ya kwenda Dubai, Falme za Kiarabu kufanyaka kazi aliyotafutiwa na kituo hicho. Anayeshuhudia makabidhino hayo yaliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bravo, Mohamed Omar na Ofisa Uhusiano wa kituo hicho.
 Mwenyekiti wa Wakala wa Kituo cha Kazi cha Bravo, ambaye pia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Mkazi wa Temeke, Dar es Salaam, Ummy Mushi tiketi na nyaraka zingine kwa ajili ya safari ya kwenda Dubai, Falme za Kiarabu kufanyaka zai aliyotafutiwa na kituo hicho. Anayeshuhudia makabidhino hayo yaliyofanyika Dar es Salaam hivi karibuni ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bravo, Mohamed. Omar. Hadi sasa kituo hicho kimewapatia kazi Watanzania 16 Ughaibuni.
Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na akina mama hao wanaokwenda kufanya kazi Dubai pamoja na wadhamini wao. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments:

Post a Comment

Pages