January 12, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI MPYA WA COMORO
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwa  balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiangalia ngao aliyopewa zawadi baada ya ku[okea  hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih
ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea na balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih baada ya kupokea hati zake za utambulisho ikulu jijini Dar es salaam leo January 11, 2014. Aliyeketi kushoto ni mkalimani. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages