February 09, 2014

MTEMVU ANOGESHA MASHINDANO YA SERIKALI ZA MITAA TEMEKE
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Jamaica ya Mtaa wa Keko Molemo, Paulo Peter zawadi ya sh. 300,000 baada ya kuifunga timu ya Dotmond Mtaa wa Jamaica  ya Mtaa wa Keko Magurumbasi katika mechi ya kuchagua wachezaji wa kuunda timu ya kombaini ya Kata ya Keko jana kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kitivo cha Elimu (DUCE), Chang,ombe Dar es Salaam . Jamaica lishinda mabao 3-1. Pia timu ya Dotmond ilizawadiwa sh. 200,000.
Abbas Mtemvu  akimkabidhi Nahodha wa timu ya Dotmond ya Mtaa wa Keko Magurumbasi zawadi ya sh. 200,000 baada ya kuwa washndi wa pili katika mchezo huo.
Bakari Hemed wa timu ya Dotmond akka mca Mbegu 
Wapenzi wa soka wakiangalia mechi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages