February 25, 2014

MWILI WA BALOZI KAZAURA WAWASILI UKITOKEA INDIA
 Jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura ukiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ukitokea nchini India ambako alikuwa akipata matibabu katika Hospitali ya Chennai Cancer Institute kabla ya mauti kumfika.

No comments:

Post a Comment

Pages