February 07, 2014

Rais Kikwete akutana na Rais wa Kampuni ya TBEA ya China
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Kampuni ya China Tebian Electrical Apparatus Stocks Company(TBEA) ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kampuni hiyo inashughulika na ujenzi wa miundombinu ya umeme. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Pages