February 01, 2014

SIMBA YAWATANDIKA 4-0 MAAFANDE WA OLJORO JKT
 Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic akisalimiana na kocha wa Oljoro JKT, Hemed Moroco.  
 Wachezaji wa Simba wakisalimiana na wenzao.
 Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Oljoro JKT uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Simba imeshinda 4-0.
  Kikosi cha timu ya Oljoro JKT kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao dhidi ya Simba.
 Waamuzi wa mchezo huo wakiwa katika picha ya pamoja na waamuzi.
 Haruna Chanongo (shoto), akiwania mpira na beki wa Oljoro JKT, Aziz Yusuf.
 Chanongo akimtoka beki wa Oljoro JKT.
 Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza.
 Wachezaji wa Oljoro JKT wakitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Simba.
 Ramadhan Singano 'Mess' akimtoka beki wa Oljoro JKT, Aziz Yusuf.
 Mashabiki wa Simba.
 Amis tabwe akitafuta mbinu za kumtoka, Nurdin Mohamed
 Golikipa wa Oljoro JKT, Mohamed Ali akiangalia ukiingia ndani ya nyavu.
 Amis Tambwe akishangilia moja ya mabao aliyoifungia timu yake leo, ambapo alifunga mabao 3.
 Leo tumewashika!!!!!!!
 Wachezaji wa Oljoro JKT wakipata maji.
 Golikipa wa Oljoro JKT, Mohamed Ali akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe.
 Ramadhan Singano akichuana na Aziz Yusuf. 
Aziz Yusuf akimiliki mpira huku aAmis Tambwe akijaribu kuleta rabsha. 

No comments:

Post a Comment

Pages