Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, ambayo
inamiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena (wa pili
kishoto), akipokea mfano wa funguo ya gari, kuashiria kupokea mabasi 175 aina
ya Eicher, kutoka kwa Rais wa Kampuni ya Eicher ya India, Anurag Vohra, wakati
wa hafla fupi ya kuikabidhi mabasi hayo, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mabasi hayo 175 yanafanya idadi ya mabasi 280 kati ya 1000 yalinunuliwa
na kampuni hiyo yanayofanya safari zake jijini Dar es Salaam. (Picha na Joseph
Senga)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment