February 20, 2014

Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi akutana na Rais Dk.Shein
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wa Wawekezaji aliofuatana nao katika ziara ya siku moja.[Picha  na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja.[Picha  na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Pages