Meneja Kiongozi, Uhusiano na Huduma kwa Wateja Mrs Eunice
Chiume wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii akifafanua jambo kuhusu Bima ya
Afya kwa mwanachama aliyetembelea Banda hilo katika maonyesho ya Sabasaba.
Maafisa wa shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii wakifafanua jambo kuhusu mpango wa hiari kwa mwanachama alietembelea banda la Shirika hilo
katika maonyesho ya Sabasaba.

Maafisa wa shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii wakifafanua jambo kuhusu huduma ya fao la matibabu
kwa mwanachama alietembelea banda la
Shirika hilo katika maonyesho ya Sabasaba
Afisa mwandamizi wa shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii.Teopista Muheta akifafanua jambo
kwa moja ya mwanachama alietembelea banda la Shirika hilo katika maonyesho ya
Sabasaba.
Ofisa Mwandamizi wa Uwekezaji na yule wa Hifadhi Builders
akitoa ufafanuzi kwa mwanachama alipotembelea banda la Sirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuhusu mradi wa DEGE ECO VILLAGE unaojengwa Kigamboni takribani kolomita 23
kutoka Feri.
Maofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF), wakitoa ufafanuzi kuhusu huduma mbalimbali kwa wanachama waliotembelea
banda hilo katika maonyesho ya 38 ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Maofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF), wakitoa ufafanuzi kuhusu huduma mbalimbali kwa wanachama waliotembelea
banda hilo katika maonyesho ya 38 ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
No comments:
Post a Comment