October 15, 2014

KAMATI KUU YA CHADEMA YAKUTANA NA WANACHAMA WALIOTIA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE

 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa Kikao cha Kamatii Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiingia katika ukumbi wa mkutano wakati wa Kikao cha Kamatii Kuu ya Chama hicho kilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Salum Mwalimu.
Salum Mwalim akifafanua jambo wakati wa Kikao hicho.
Viongozi Wakuu wa Chadema wakiomba dua kabla ya kuanza Kikao.
Mwanamuziki wa kizazi kimpya Prof. J akiwa ni miongoni mwa watia nia.
 Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, John Mnyika akizungumza katika kikao hicho.
 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar,  Said Issa Mohamed akizungumza katika Kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdalah Safari.
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza katika wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho ilipokutana na Wanachama waliotia nia ya kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2015.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Baadhi ya wanachama waliotia nia ya kugombea katika majimbo mbalimbali ya Uchaguzi wakati wa Uchaguzi Mkuu.
Wanachama wa Chadema.
Mustafa Muro akiwa katika Kikao hicho.
Wanachama wakisikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema.
Wabunge wa Chadema wakiwa katika kikao cha Kamati Kuu.
Mbowe akisisitiza jambo.
Msanii wa bendi ya M4C akitumbuiza.
Wanachama wa chama hicho.
Baadhi ya viongozi wa Chadema.
Joseph Haule 'Prof. J' akiwa katika Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema.

No comments:

Post a Comment

Pages