October 09, 2014

KINANA -WILAYA YA MUFINDI

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mafinga Kaskazini.
Baadhi Wajumbe waliohudhuria mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mafinga Kaskazini
 Viongozi wa Dini wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mufindi Kaskazini
 Mwenyekiti wa Wazee Waasisi wa CCM wilaya ya Mufindi Mzee Raphael Ngogo akisoma risala ya Wazee kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 Wajumbe wakiimba nyimbo za kumkaribisha Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa Dini wilaya ya Mufindi ambao walialikwa kwenye mkutano mkuu wa CCM Jimbo la Mufindi Kaskazini.


 Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Mufindi Dk.Boaz Mnenegwa  akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipotembelea wodi ya kina mama hospitalini hapo.
 Sehemu ya Wodi ya akina mama katika hospitali ya wilaya ya Mufindi.
 Meneja wa Shamba la SAO Hill Ndugu Salehe Beleku akizungumza mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipotembelea  ofisi ya SAO Hill Mufindi
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitazama mti uliopandwa mwezi wa kumi mwaka 1980 kwenye viwanja vya SAO Hill na Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kutembelea ofisi za SAO Hill wilayani Mufindi mkoa wa Iringa.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka udongo baada ya kupanda mti wa kumbukumbu baada ya kutembelea ofisi za SAO Hill wilayani Mufindi mkoa wa Iringa
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  akipanda mti wa kumbukumbu nje ya ofisi ya SAO Hill wilaya ya Mafinga
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikusanya baadhi ya mabango kutoka kwa wananchi wa Mafinga waliotaka ujumbe wao ufike kwa Katibu Mkuu wa CCM
Katibu Mkuu wa CCM akiangalia namna mbao zinavyotayarishwa kwenye kiwanda cha mbao cha Emmanuel kinachomilikiwa na Ndugu Charles Emmanuel Akyoo

No comments:

Post a Comment

Pages