Licha ya kuingia kwa mbwembwe Uwanjani Stand United yachapwa 3-0 na Yanga
Stand United wakiingia Uwanjani na
Katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.
No comments:
Post a Comment