October 29, 2014

LIGI KUU YA ZANZIBAR HARD ROCK YAIFUNGA KIPANGA 1-0

 Haji Idrissa wa Kipanga akijaribu kuuwahi mpira usitoke nje huku akichungwa kwa karibu na Burhani Rashid wa Hard Rock. Hard Rock ilishinda bao 1 - 0. Picha zote na Martin Kabemba.
 Steven Thobias wa hard Rock akiwa kwenye harakati za kumpita beki wa Kipanga Haji Idrissa (kulia) jana kwenye uwanja wa Amaan.
 Mshambuliaji wa Hard Rock Steven thobias (kushoto) akimzunguka beki wa Kipanga Haji Idrissa, ligi kuu ya grand malt ya zanzibar kwenye uwanja wa Amaan jana. hard Rock ilishinda bao 1 - 0.
 Matteo Anton wa Kipanga (kushoto) akitafuta mbinu za kumpita Amir Shaaban wa Hard rock kwenye uwanja wa Amaan .
Mwamuzi Makame "Kipilau" (katikati) akiwaamuru watu wa huduma ya kwanza kwenda nje ya uwanja kumtibu Amir Shaaban wa Hard Rock ilipokutana na Kipanga kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Pages