October 17, 2014

MWANASHERIA MPYA ZANZIBAR AAPISHWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akimuapisha  Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages